Dayna Nyange afungukia penzi la Prezzo Msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange Msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange amefunguka kuhusiana na tetesi kuwa waliwahi kutoka kimapenzi na Rapper kutoka nchini Kenya Prezzo na kwamba Prezzo alivunja mahusiano na mpenzi aliye kuwa naye. Read more about Dayna Nyange afungukia penzi la Prezzo