Pete ya uchumba siyo kigezo kuwa utaolewa- Wolper
Msanii wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kwamba siyo vizuri kuzungumzia masuala ya mchumba kwenye vyombo vya habari au kujitangaza sana kwani mtu unaweza kuishia kwenye kuvishwa pete ya uchumba tuu.