Kunawatumishi wanaipaka matope Serikali-Mwigulu
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvivu, Mhe. Mwigulu Nchemba, amesema kuna baadhi ya watumishi wasio waaminifu wanajinufaisha kwa kujipatia kipato kutoka kwa baadhi ya wafugaji wanaoingiza mifugo katika hifadhi za taifa.