Watanzania tumieni gesi ili kunusuru mazingira
Kushuka kwa gharama za nishati ya gesi imetajwa kuwa ni fursa muhimu kiuchumi ambayo Watanzania wametakiwa kuitumia ili kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ambao taarifa za kitaalamu zinaonyesha kuwa huchangia kuharibu mazingira.