Wananchi acheni tabia ya kuvamia mali za serikali

Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Angelina Mabula amewataka wananchi nchini kuacha tabia ya kuvamia maeneo tengefu ya serikali na taasisi zake kwa kigezo tuu cha kwamba maeneo hayo yamekaa bila kuendelezwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS