Mkutano utekelezaji bomba la mafuta waanza Dar

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo

Waziri wa Nishati wa Uganda Bi. Irene Muloni pamoja na timu ya wataalamu wa wizara yake wapo nchini kwa ajili ya mkutano wa kwanza wa majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta linalotarajiwa kujengwa kutoka nchini humo hadi jijini Tanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS