Tanzania yaanza vibaya riadha EA Wakenya wapeta.
Kama ilivyokawaida ya michuano ya riadha kwa sasa barani Afrika na duniani kwa ujumla Wanariadha wa Kenya na Ethiopia wamekuwa wakisumbua na kutawala mashindano mbalimbali ya mbio za kimataifa barani Afrika na Duniani kwa ujumla.