Ashambuliwa mpaka umauti na tembo wanne

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Mbeshi Mliambelele mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa kijiji cha Mfinga, Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na Tembo wanne.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS