Vita ya Azam FC na Simba kesho Taifa, Kipre ndani

Vita ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea tena hapo kesho Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa Azam FC dhidi Simba SC kushuka dimbani kwa ajili ya kusaka pointi tatu ambazo timu zote mbili zitajiweka katika nafasi nzuri katika Ligi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS