Tanzania itatumia vyanzo vyake vya mapato- Majaliw
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza maeneo yote muhimu yakiwemo ya sekta ya afya, elimu na maji.