Auawa kwa kuchomwa moto kisa laki mbili

Kijana Jumanne Juma (26)

Jumanne Juma(26), mkazi wa Mtaa wa Kimara B, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ameuawa na watu aliokuwa akiwafanyia kazi za nyumbani kwa kumchoma na Petrol usiku wa Januari 23, 2024 wakidai amewaibia kiasi cha shilingi laki mbili kwenye mkoba alipoenda kudai malipo yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS