Colombia watema ndoano agizo la Trump

Taifa la Colombia limekubali kupokea ndege za kijeshi zilizobeba wahamiaji waliofukuzwa nchini Marekani kwa mujibu wa Taarifa ya ikulu ya nchini Marekani, Taifa hilo la Amerika ya Kusini mara ya kwanza lilikaidi hatua hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS