Mpaka wa Rwanda na Congo haupitiki

Mpaka kati ya DR Congo na Rwanda umeripotiwa kufungwa baada ya waasi wa M23 kuingia Goma. Chanzo cha kidiplomasia kiliiambia shirika la habari la AFP kwamba hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia au kutoka kwenye kivuko kikuu kati ya nchi hizo mbili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS