Zanzibar tubadilike, tusiwe wasindikizaji-Morocco
Kocha mkuu wa timu ya Mafunzo Hemed Suleiman Morocco amevitaka vilabu vya soka visiwani humo vibadilike ili vifanye vizuri katika mashindano mbalimbali na kujiondoa katika muonekano wa wasindikizaji katika mashindano ya Afrika.