CHADEMA yalalamikia kukamatwa kwa makada wao

Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelalamikia kukamatwa kwa baadhi ya wabunge na madiwani wao wa jiji la Dar es salaam na kusema kuwa kitendo hicho ni hujuma zinazofanywa na watawala.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS