Wahamiaji 35 kutoka Ethiopia watiwa mbaroni Pwani JESHI la polisi mkoani Pwani limewakamata wahamiaji haramu 35 raia kutoka nchini Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria. Read more about Wahamiaji 35 kutoka Ethiopia watiwa mbaroni Pwani