Mashindano ya Taifa ya kuogelea kuanza Jumamosi Mashindano ya taifa ya mchezo wa kuogelea yanatarajiwa kuanza Jumamosi ya Machi tano mwaka huu kwa kushirikisha vilabu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Read more about Mashindano ya Taifa ya kuogelea kuanza Jumamosi