Trump kusomewa hukumu kabla ya kuapishwa kwake
Jaji katika mahakama ya New York Juan Merchan anayesikiliza kesi ya utoaji hongo dhidi ya rais mteule wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutoa uamuzi juu ya kesi hiyo siku 10 kabla ya kuapishwa kwake Januari 20.