UNDP kutekeleza maendeleo Tanzania kupitia vijana
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP, nchini Tanzania limesema kuwa linakusudia kutekeleza miradi ya maendeleo kupitia vijana ili kufanikisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDGs.