Simba kumchukulia hatua Muro kama TFF watanyamaza
Klabu ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara amesema iwapo Shirikisho la Soka nchini TFF litaendelea kufumbia macho kauli za kejeli, dharau, matusi na kashfa zitolewazo na mkuu wa habari wa klabu ya Yanga kutawafanya wao wachukue hatua.