IGP Ernest Mangu apangua makamanda wa polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu amefanya Mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa na vikosi hapa nchini. Read more about IGP Ernest Mangu apangua makamanda wa polisi.