Prisons yaizuia Azam FC kuishusha Yanga ligi kuu Azam FC imeshindwa kuwaengua kileleni mwa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, mabingwa watetezi, Yanga baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na wenyeji Tanzania Prisons Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Read more about Prisons yaizuia Azam FC kuishusha Yanga ligi kuu