Saba washikiliwa kwa mauaji na kubaka mtoto, Mara

Kamanda wa polisi mkoa wa Mara kamishna msaidizi wa jeshi la polisi ACP Philip Alex Kalangi

Jeshi la polisi mkoani Mara linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kumbaka kisha kunyongwa hadi kufa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne na nusu Mariam Deaogratus ambaye alikuwa mwanafunzi wa shule ya awali ya Makoko katika manispaa ya Musoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS