Wananchi waishi kwa kula matunda ya porini -Lindi
Hekari zaidi ya 545 za mahindi na mpunga zilizoko katika kijiji cha Nanjulu tarafa ya Mandawa wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi zimesombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha ambapo kaya 231 zinaishi katika maisha magumu kwa kula matunda.