Pingamizi la mbunge wa Ndanda kuamuliwa Machi
Mahakama kuu kanda ya Mtwara imesema maamuzi ya pingamizi lililowekwa na Mbunge wa jimbo la Ndanda (Chadema) Cecil Mwambe, anayepinga kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo (CCM) Mariam Kasembe, yatatolewa mwezi Machi mwaka huu