Tanzania yagundua uwepo wa Gesi eneo la Ruvu

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini nchini Tanzania,Badra Masoud

Tanzania imegundua takribani futi za ujazo trilioni 2.17 za gesi katika eneo la Ruvu lililoko katika mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka mji mkuu wa biashara-Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS