Manyika akataa magolikipa wake kubadili uraia
Kocha wa kituo cha kukuza vipaji vya magoli kipa Peter Manyika amesema, ameamua kumrudisha kijana ambaye alikuwa katika majaribio nchini Msumbiji kwa ajili ya kutokuafikiana makubaliano kati yake na viongoizi wa timu ya polisi mji wa Nampula.