Serikali kutoa fursa za uongozi kwa wanawake

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kutoa fursa sawa kati ya wanawake na wanaume katika vyombo vya maamuzi ili kuinua uwezo wa wanawake na kuchangia katika maendeleo ya taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS