Cercle kutua Alhamisi kwa marudiano na Yanga

Wapinzani wa Yanga katika kombe la klabu bingwa Barani Afrika,Cercle De Joachim kutoka Mauritius wanatarajiwa kuwasili nchini kuanzia jumatano au Alhamisi ya wiki hii kwa ajili ya mechi ya marudiano ya kombe la klabu bingwa Barani Afrika jumamosi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS