Temeke waanza kujenga shule zilizozidiwa Wanafunzi
Halmshauri ya Manispaa ya Temeke imeanza Ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa katika shule ya msingi Maji Matitu ili kukabiliana na idadi kubwa ya wanafunzi katika shule hiyo ambayo imepokea idadi kubwa ya wanafunzi kuliko shule yoyote Dar es salaam.