Wanajeshi 180 wa Kenya waliuawa na al shabab Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mahmoud amesema kuwa takriban wanajeshi 180 wa Kenya waliuawa katika uvamizi wa kambi yao huko El Ade na wapiganaji wa kundi la Alshabaab. Read more about Wanajeshi 180 wa Kenya waliuawa na al shabab