Wanawake wafugaji waanza kupewa hatimiliki ardhi
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania wanawake 100 kutoka jamii ya wafugaji wa kabila la wamaasai wakazi wa kijiji cha Engaresero wilayani Ngorongoro wamepatiwa hati za kimila za umiliki wa ardhi zinazowapa haki ya kumiliki ardhi kisheria