Wananchi Newala walalamikia ukosefu wa dawa

Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, Christopher Magala akifungua mkutano wa wananchi.

Wananchi Wilayani Newala wamelalamikia ukosefu wa dawa katika vituo vya afya na Zahanati na kudai kuwa hali hiyo inachangia watu wengi kutoona haja ya kujiunga katika Mfuko ya Afya ya Jamii (CHF).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS