Baraza la watoto lataka mfumo mpya wa Elimu
Baraza la Watoto laitaka serikali iangalie upya mfumo wa elimu na mitaala inayotumika kufundishia iwapo inaendana na wakati ulioko na kuwawezesha watanzania kukabiliana na changamoto za kijamii,kiuchumi na kisiasa zilizopo .