''Simba si washindani wetu tena'' -Jerry Muro Klabu ya soka ya Yanga imetangaza rasmi kuwa kuanzia leo wekundu wa Msimbazi Simba si washindani wao tena bali ni watani wa jadi kama walivyo wasukuma na wagogo. Read more about ''Simba si washindani wetu tena'' -Jerry Muro