BEI ZA VYAKULA MWAKA MPYA ZAENDELEA KUPAA

watu wanataka wakapike kwao unakuta kama hii miguu ya kuku na utumbo hawanunui

Bei za vyakula na bidhaa katika siku kuu ya mwaka mpya zimeendelea kupaa huku kukua kwa mahitaji ikilinganishwa na uwepo wa bidhaa husika sokoni, kumetajwa kuwa sababu ya ongezeko la bei.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS