UNENE ULIOZIDI CHANZO CHA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA
Magonjwa yasiyo ambukiza kama kisukari, saratani na figo yameelezwa kuchangiwa kwa unene na uzito kupita kiasi kwa mrundikano wa mafuta ya ziada au yasiyo ya kawaida mwilini yamekuwa yakichangia kudhoofisha mwili.