Usiagize tena chakula ukashindwa kula
Msimu wa sikukuu ndiyo huu, shangwe na furaha zitatawala kwa walio wengi kwenye msimu huu, wapo wa kwenda kutalii, matembezi ya hapa na pale, kukaa ndani na aina nyinginezo za kuupa mwili pole kwa shughuli za mwaka mzima.