Mtoto wa miaka 8, abakwa akiangalia Tv kwa jirani
Mtoto mwenye umri wa miaka nane mkazi wa Kata ya kalangalala Manispaa ya Geita Mkoani Geita anadaiwa kubakwa na kijana mmoja ambae ni jirani yake baada ya mtoto huyo kwenda kutazama TV kwenye chumba cha mtuhumiwa huyo.