Klabu za Yanga na Simba kukipiga ugenini Algeria

Simba SC yenyewe itaingia uwanjani siku ya Jumamosi ikiwa na kumbukumbu ya kupata ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya FC Bravos ya kutokea Angola kwenye mchezo wa kwanza wa makundi uliochezwa uwanja wa Benjamini Mkapa Dar es salaam.

Klabu za Yanga na Simba zitashuka uwanjani kukipiga ugenini katika michezo ya vilabu Afrika klabu bingwa na shirikisho mwishoni mwa wiki Jumamosi na Jumapili zote zitacheza nchini Algeria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS