Kada wa CHADEMA auawa Songwe
Kada wa CHADEMA Stephano Evaristo Chalamila mwenye umri wa miaka 23 ambaye pia ni ofisa wa chama Kata na mkazi wa kijiji cha Chapwa A wilaya ya Momba mkoani Songwe, ameuawa usiku wa kuamkia leo Novemba 27, 2024, baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani akiwa amelala na kukatwa