Serikali kujenga bonge la Arena Kawe Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imepokea Hekari 12 eneo la Kawe Jijini Dar es salaam ambapo utajengwa Ukumbi wa Kimataifa wa Michezo (Sports Arena). Read more about Serikali kujenga bonge la Arena Kawe