Wanaotaka kuinua vijana wasisitizwa haya
Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde amewataka wadau wa maendeleo ambao wanatekeleza miradi yenye lengo la kuinua vijana katika sekta ya kilimo kufuata muelekeo wa Programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (Building a Better Tommorow-BBT) ili kuongeza wigo mpana zaidi wa kuwafikia vijana wengi
