Shabani amuua mwenye nyumba kisa kodi
Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake.


