RC Sendiga akemea wanaouza vifaa vya msaada
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amewataka wananchi kutouza vifaa vya msaada walivyopatiwa kufuatia maafa ya upepo mkali uliosababisha nyumba 45 kuezuliwa na baadhi kubomoka katika kijiji cha Tamasenga kata ya Pito wilaya ya Sumbawanga mwaka jana