Machinga Mwanza wafanya fujo, wataka maeneo
Machinga jijini Mwanza leo wamefanya fujo na kuuomba uongozi wa jiji hilo kuwapanga katika maeneo ya mjini yaliyowazi ili waweze kufanya shughuli zao kutokana na maeneo waliyowatengea kuwa pembezoni hali inayosababisha wazidi kufilisika.