AL Hilal kutua Dar kesho kwa mwaliko wa Simba
Mabingwa wa soka nchini Sudan, Al Hilal watatua jijini Dar es Salaam kesho saa sita mchana kwa mwaliko maalumu kutoka kwetu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.