Shilole amwaga machozi kuvunjiwa Shishi Food

Picha ya Shilole na alipokuwa anafanyia biashara

Msanii na mfanyabiashara Shilole amemwaga machozi akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuvunjiwa eneo lake la biashara la 'Shishi Food' Kinondoni na kupewa siku 3 kuhamia eneo jipya alilopewa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS