KMC FC yaifuata Ruvu Shooting Morogoro
Kikosi cha Wachezaji 22 wa KMC FC, Viongozi pamoja na Benchi la Ufundi lao Ijumaa (Februari 03), imeondoka Jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Morogoro, tayari kwa mchezo wa 22 wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa keshokutwa Jumapili (Februali 05)