Samwel amwagiwa maji ya moto na Rehema

Maji ya moto

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Rehema Prosper (41), anayedaiwa kumjeruhi mpenzi wake aitwaye Timoth Samweli kwa kumwagia maji ya moto mgongoni, akimtuhumu kutoka kimapenzi na wanawake wengine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS